Andiko la Maandiko: 1 Timotheo 4:12-16
Mstari wa Kukariri: “Nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.” Mathayo 5:16
Lengo la Somo: Kutambua jinsi tunavyoweza kuwa mfano wa mwamini na jinsi mfano wetu unavyoweza kuathiri maisha ya wasioamini.
Mambo Muhimu
- Kristo ndiye mfano wetu mkuu.
- Kama mifano ya mwamini, tunaendelea na kazi ya Kristo hapa duniani.
- Kama wanaodai kuwa Wakristo, tuna fursa ya mara moja ya kuathiri maisha ya wasioamini kwa sababu macho yao yanatutazama kila wakati.
Yesu, Bwana wetu, Mwokozi,