Mstari wa Kukariri: “Ulitia unajisi patakatifu pako kwa wingi wa maovu yako, kwa uovu wa biashara yako; kwa hiyo nilileta moto kutoka katikati yako, nao ukakuteketeza, nami nikakufanya majivu juu ya nchi, machoni pa wote waliokuona. Wote waliokujua miongoni mwa kabila za watu wanakustaajabia; umekuwa kitu cha kutisha, wala hutakuwepo tena milele.” Ezekieli 28:18-19
Usomaji wa Maandiko: Ezekieli 28:1-19
Utangulizi:
Wakati mmoja au mwingine, kila mtu anataka maelezo ya kwa nini Mungu anaruhusu majaribu na nyakati za mateso kutupata.
Neno la Kiebrania